loving
Senior Member
- Aug 27, 2012
- 137
- 34
Arusha ni jiji au ni mfano wa jiji? Mgao wa umeme, biashara zimesimama, vipato vimekuwa duni ... Ninapofanya biashara umeme unakatika Saa 12 kasoro asubuhi Unarudi Saa nne..... Hii ni nchi gani? Au mawaziri wameondoka na umeme wao?
TANESCO tuelezeni ni nini shida
TANESCO tuelezeni ni nini shida