STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Ulikuwa unatoka kazini sa2 na wala huendi
nyumbani, unanyoosha kiguu hadi Mabibo
Hostel, unambeba unampeleka kula Mihogo COCO
BEACH...Hata uchovu ulikuwa husikii, Furaha yako
ilikuwa ni kumuona 'BAbe unayemuwinda'
amefurahiSasa umeshampata amesahau kabisa hata Coco Beach kama iko Wilaya ya Kinondoni,Wewe ni
Kazi KAZi KAzi..NimechokaBAby...Baby nna
Stress..Baby Boss wangu ni Kero..Baby sina hela si
unajua najenga...Babe na wewe umezidi
kulalamika...Baby Dinner kila wiki..Babe Ubungo kuja
hapo kuna Foleni sana Baby ntamaliza Mafuta....Ila Mvua ikinyesha unataka Kula Mzigo
Vroooooooommmm..Babe niko hapa NjeHostel njoo
nimekumiss!Yale Mahaba yameishia wapi babangu???
Ile Mihogo Je??Hivi unadhani akijitokeza mwenzio
pembeni akaanza kumpeleka Coco Beach kama
wewe ulivyomzoesha mwanzoni UNADHANI ATAMKOSA??? Thubutu yako! Usimuahidi Mpemba
Halua wakati hujui hata kutengeneza Kashata!