Umejifunza nini kuhusu Picha hizi

Umejifunza nini kuhusu Picha hizi

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,247
Reaction score
888
Zito na Lissu wakitoka mahakamani .
3.jpg
Wafuasi wa pande mbili Zitto vs Chadema wakitoka mahakamani.
unnamed+(4).jpg
 
unafiki na uonevu kwa wasio na hatia
 
1.siasa sio vita

2.muamko wa ukombozi haukupita kwenye tundu lake. tafsiri ya muamko imepotoshwa.
 
hapo naona mnafiki Zzk anadhihirisha unafiki wake meno nje na tabasamu kubwa huku ndani yake kuna giza nene la chuki na hasira juu ya Lisu. lati Mungu angemfanya mwanadamu aonekane kile anachokiwaza ndani yake tungelijua mengi.
 
Maeneo hayo hapo ni uso wa Jijii na matokeo ya SIASA CHAKAVU hupelekesha wafuasi kuchafua jina la NCHI !!
 
it is straight forward... wanasiasa wanacheza karata za ulaji wao, wananchi wa kawaida wanachukua karata na kuanza kuchapana hata kuuana

tumeshaona akina Mbowe na JK, sUMAYE na na Lowassa, Pinda na machozi yake kisha anakuja kusema "wapigwee", Lowassa na JK, Sitta na Lowassa, Slaa na Zitto... wanapiga picha wanacheka, wanakumbatiana, wana bashasha na kila kitu

Kauli zitokazo kwenye ndimi zao zinaangamiza masikini na familia zao, vichocheo vyao vinaleta mitafaruku kwenye misiba, sherehe na hata ujirani, huku wao wakiangalia TV za inchi 72, wanakula nyama za kuoka, wanatafuta cha kutumbandika tena, tusahau shida za kweli za watanzania huku tukisubiri a new political episode to crew our lives

POLITICIANS = DEVILS, EVILS AND HYPOCRITES... THEY EXPLORE PEOPLE ETC

SAD TRUTH
 
Well said... 1000% right Mkuu the vigogoz na politicians wetu hawa wamegeuza wananchi na rasilimali ya nchi kuwa Bidhaa (( commercial )) ya kama biashara !! hakuna mwenye kujaali hali ya wananchi wa kawaida.!!
Ubinafsi na masilahi mbele.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
katika siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu
 
Hata kama mimi ningekuwa mungu nisingeibariki tanzania maana watanzania tu wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom