Umejiandaaje kuwa Baba/mama mkwe

Binafsi Huu ndiyo msimamo wangu since day one.

 
Mabinti wengi yanayowasibu ndoani huwaambia mama zao wa kuwazaa anaamini mama yake ndio msiri wake kwa wanaume wengi hufa na tai shingoni huwa tunajihisi udhaifu kusema yanayojiri ndoani sasa kwa wamama wengi huwapendelea mabinti zao na kuamini kuwa hadi anamwambia basi yamemfika ya kweli na hadanganyi
 
Unasema kweli kabisa, ila wengi hawajui tu wanavyotengeneza sumu kwenye hizo ndoa zao, makosa madogo madogo myaongee, communication ndio inajenga mahusiano yaendelee kuimarika, tofauti na hapo bora ukae ndani ulie ukichoka unyamaze kuliko kuyapeleka nje sijui nyumbani.. utakwama!
 
Sahihi kabisa ila hayo ni yakufundinshwa kwa wanandoa wapya na ni kazi ya wazazi
 
Sheria ya kwanza wakati tunaingia kwenye mahusiano ilikuwa ugomvi wetu tunasuluhishana wenyewe wawili basi...na imekuwa hivyo miaka yote.
Huko upande wa pili ni kupeleka taarifa ya upendo na furahaa tu.
 
Kila mtu ataishi maisha yake , Mimi maisha ya kuishi kwa kufuatilia watu mzima siyataki
 
Sheria ya kwanza wakati tunaingia kwenye mahusiano ilikuwa ugomvi wetu tunasuluhishana wenyewe wawili basi...na imekuwa hivyo miaka yote.
Huko upande wa pili ni kupeleka taarifa ya upendo na furahaa tu.
Ndivyo ilivyo sa sijui wengine hawaelewagi wapi! Mtu anamsimlia mara dadaake mambo yenu ya ndani wakati yake pia huko yamemshinda!
 
Kabla hamjafika huko, hiki ndicho wanachokifanya baba na wake zenu 😹
 

Attachments

  • IMG_6273.jpeg
    334.7 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…