Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Soma magazeti ya Habari Leo ukurasa wa pili na Daily News ukurasa wa nne wanagawa Vitambulisho huko.Wadau hivi huu mchakato wa viatmbulisho vya taifa ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na tukashudia viongozi waandamizi wa serkali wakigawiana umeishia wapi? Mara ya mwisho ulikuwa Dar na Zanzibar baada ya hapo ikawa kimya kulikoni?
Tusaidieni kufahamu kwa mnaojua kinachoendelea.
Mbona kina taarifa zote za mwombaji kwenye chip ya kitambulisho ambayo ni contact less kama NIDA walivyoonyesha wabunge bungeni wakati bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ikiwasilisha bajeti yake!hicho kitambulisho chenye jina na jinsia kama vile jinsia zetu hazionekani
Mbona kina taarifa zote za mwombaji kwenye chip ya kitambulisho ambayo ni contact less kama NIDA walivyoonyesha wabunge bungeni wakati bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ikiwasilisha bajeti yake!
hicho kitambulisho chenye jina na jinsia kama vile jinsia zetu hazionekani
Sio lazima kila taarifa iwe visible kwako,ukitaka kila kitu kisomeke hapo juu, itakuwa kijarida badala ya ID. taarifa nyingine ulizojiandikisha wewe mwenyewe kwenyee fomu zipo kwenye Chip. Wakitaka kuisoma wenyewe ni suala la kuingiza kwenye machine tu.hicho kitambulisho chenye jina na jinsia kama vile jinsia zetu hazionekani
Sio lazima kila taarifa iwe visible kwako,ukitaka kila kitu kisomeke hapo juu, itakuwa kijarida badala ya ID. taarifa nyingine ulizojiandikisha wewe mwenyewe kwenyee fomu zipo kwenye Chip. Wakitaka kuisoma wenyewe ni suala la kuingiza kwenye machine tu.
Ndiyo maana nikakwambia sio kila taarifa lazima wewe uione kwa urahisi. Taarifa nyingine zimekuwa coded, labda kukusaidia tu kama una kitambulisho hicho sasa hivi geuza upande wa nyuma.naelewa lakini sio kihvyo hata tarehe ya kuzaliwa ndo wasiweke wamekurupuka kusema ukweli
Kalagabao hayo ni mambo ya teknolojia tarehe ya kuzaliwa unakoishi kazi vote vipo lakini huwezi kuving'amua kwa sababu inaonekana si mtaalamu wa mambo hayo. Pia taarifa za mtu ni Siri kwa nini zianikwe juu ya kitambulisho? Waacheni NIDA wachape kazi.naelewa lakini sio kihvyo hata tarehe ya kuzaliwa ndo wasiweke wamekurupuka kusema ukweli
pesa ziliisha ndo maana mchakato wote ukaimama; sasa unahoji hujui nini?
Mkuu mbona zoezi la ugawaji linaendelea, kama uliandikishw na bado hujapata kuwa mvumilivu tu zamu yako itafika. Kwa sasa wameanza na watumishi wa umma hasa wa DAR ES SALAAM.