Baada ya kufatilia siasa za nchi yetu nimegundua upinzani tz hakuna, ni porojo tu na project za watu. Toka 1995 story ni ileile ya kuibiwa kura. Kumbe wapinzani wapo kwa ajiri ya ruzuku na misaada kutoka kwa wazungu.
Wapinzani hawana dhamira ya kweli ya kushika dola. poleni vijana mnaotiwa matumaini hewa eti ipo siku upinzani utaingia ikulu.
Kuna kiongozi wa upinzani nimemsikia eti anasema "2020 njia nyeuupee ikulu" na baadhi ya vijana wanaamini kabisaaa na kushangilia bila hata kuhoji "How?"
Wapinzani wanajua kabisa tatizo lilipo ila wamewekeza kuhadaa watu na kubuy time ili tu waendelee kula. maana waliowengi bila hivyo ni ngumu kuendesha maisha yao. kuna options mbili tu hapo
1. Wapinzani waamue kwa dhati kwa namna yoyote ile kabla ya uchaguzi ujao kudai tume huru au katiba mpya itakayobadilisha muundo na upatikanaji wa wajumbe wa tume.
Kenya wameweza, Tz tatizo ni wapinzani wenyewe. Tatizo hatuna upinzani madhubuti ambao umevaa ngozi ya upinzani na uzalendo yaani mvua inyeshe au Jua liwake, usiku au mchana.
2. Wajiunge na CCM ili tanzania iwe na chama kimoja tu. Ili wote wawe ndani ya chungu kimoja.
*NB* Nawashauri vijana wenzangu wawe makini, wanajazwa na kutumiwa kwa maslahi ya viongozi wa upinzani, maana kwa hali ilivyo na mwenendo huu wa upinzani sioni ndoto ya kuingia ikulu.
Wafuasi wa upinzani mtakuwa kama fisi kusubilia mkono udondoke miaka nenda rudi.