Umeelewa nini kwenye hii picha?

Kwasababu inaangaliwa thamani ya vitu. Pesa ni bora kuliko elimu haijalishi hiyo pesa imepatikanaje
 
That means uchawa unalipa zaidi kuliko utaalam, (Chawa/wanafiki wana thamani zaidi kuliko wasomi/wataalam) jambo ambalo ni hatari sana kwa maendeleo na pia mustakabari wa nchi.

Badala ya kujenga Taifa la wataalam kwenye sekta mbalimbali, viongozi wetu wanajenga Taifa la wanafiki, na waimba mapambio!
 
Kiongozi yeyote anayezingirwa na kuyaendekeza machawa ni kiongozi dhaifu mnoo, incompitent!!.
Tafakari!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…