Sheillah Sheillah JF-Expert Member Joined Jun 17, 2020 Posts 695 Reaction score 1,803 Aug 10, 2020 #1 .
Mungu ibarik JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,395 Reaction score 11,580 Aug 10, 2020 #2 Mwanaume alikuwa kamili , Akaanza kubadirika, Na badae akafana na mwanamke, Mwisho uanaume wake ukafichwa kabisa.
Mwanaume alikuwa kamili , Akaanza kubadirika, Na badae akafana na mwanamke, Mwisho uanaume wake ukafichwa kabisa.
madindigwa JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 2,498 Reaction score 2,927 Aug 10, 2020 #3 Maadili ya mwanamke yanakwenda yanapungua kila siku
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,398 Aug 10, 2020 #4 We used to fool them but now things change they are fooling us!!.. It's now the time for female to be free..!
We used to fool them but now things change they are fooling us!!.. It's now the time for female to be free..!
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,080 Aug 11, 2020 #5 Kujistiri kwa Wanawake kunapungua siku hadi siku kwa kuyaaacha maungo yao nje bila kujali mafundisho ya kidini au maadili ya jamii zao tofauti na wanaume.
Kujistiri kwa Wanawake kunapungua siku hadi siku kwa kuyaaacha maungo yao nje bila kujali mafundisho ya kidini au maadili ya jamii zao tofauti na wanaume.
True Believer JF-Expert Member Joined Mar 6, 2019 Posts 588 Reaction score 900 Aug 12, 2020 #6 Maadl ya wanawake Yamepotea kabsa Katika suala la kujisitir maumbile Yao... Kias kwamba wnaume ndo wanajisitir zaid kulko wanawake....!
Maadl ya wanawake Yamepotea kabsa Katika suala la kujisitir maumbile Yao... Kias kwamba wnaume ndo wanajisitir zaid kulko wanawake....!
True Believer JF-Expert Member Joined Mar 6, 2019 Posts 588 Reaction score 900 Aug 12, 2020 #7 Maadl ya wanawake Yamepotea kabsa Katika suala la kujisitir maumbile Yao... Kias kwamba wnaume ndo wanajisitir zaid kulko wanawake....!
Maadl ya wanawake Yamepotea kabsa Katika suala la kujisitir maumbile Yao... Kias kwamba wnaume ndo wanajisitir zaid kulko wanawake....!
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,352 Reaction score 25,874 Aug 30, 2020 #8 Hii inamaanisha wanawake maadili yamebadilika. Wanajiachia. Wanaume wamebadilika wamekuwa magaidi.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,959 Reaction score 204,078 Aug 30, 2020 #9 Nktlogistics said: Mwanaume alikuwa kamili , Akaanza kubadirika, Na badae akafana na mwanamke, Mwisho uanaume wake ukafichwa kabisa. Click to expand... Kweli uko sahihi sanaah.
Nktlogistics said: Mwanaume alikuwa kamili , Akaanza kubadirika, Na badae akafana na mwanamke, Mwisho uanaume wake ukafichwa kabisa. Click to expand... Kweli uko sahihi sanaah.