Umeelewa nini katika hii picha?

akili za madereva wa bodaboda zimeshikiwa na nguvu za giza
 
Hizo piki piki kumbe zinakimbia sana nilikua naziona huku Tanga kwa waarabu zinaitwa bata vuzi
 
Yani jamaa akifika guest hataamini kile atakacho kiona kulinganisha na jinsi alivyomchukua mwazo..

Nywele bandi
Titi bandia
Kalio bandia......kila kitu bandia
 
Ujumbe ninaouona ni kwamba baadhi ya wanawake hawajikubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…