Kuna mwanamke nlikua nae mwanzo wa uhusiano wetu alikuwa anasema hapendi pesa kbs kwa mwanaume,eti yeye anapendaga kweli na kiukweli hakuwai kuniomba pesa ,kumbe alikua anafanya uchunguzi wa kipato changu cku ya cku alianza minzinga hadi nikakimbia

We huwafahamu watoto wa kibongo wanavyopenda vibomu? Unachat na mt for the first time message ya kwanza tu unasikia oo, naomba laki; mara oo, naomba nitumie tiketi ya ndege niko Moshi; oo, naomba elfu hamsini...... Nyambafu!

da pole mtu mzima!...mi mwenyewe kuna mmoja aliniuliza nina wadogo wangapi nikamwambia watatu na wote wanasoma.....akamaindi kisa eti namtangazia majukumu mapema kama njia ya kujihami...sasa nikamuuliza ulitaka nikudanganye?:smile-big: