Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,234
- 40,237
Me huwa natafuta sana mtaji niingie kwenye kubet ni basi tu mipango inakataa hata hela ninayopata kwa kufanya vibarua vya deiwaka inaishia kwenye mahitaji muhimu tu bila kuwa na akiba yoyote kwaiyo nikibet stake zangu ndio buku ikizidi sana buku 5. Lakini ningekua na mtaji wa kuanzia laki mbili hivi kama hao watu wa forex mchongo wa kubet ungeshanitoa kimaisha.Forex na betting Ni yale Yale ,Tena kama unafanya analysis na kufuatilia game , betting Ni rahisi mno na unapiga pesa ,Tena Kwa hizo mitaji zenu za forex ukiingia nazo betting unapiga pesa mpaka unaona maisha Ni rahisi ....imagine una mtaji WA $50 sawa na 125,000,,,kwenye betting huo Ni mtaji mkubwa mno ...
Forex hutakiwi kuwa na mihemko lazima ukimbie..Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
kwa sababu forex bila kipato kingine cha pembeni ni mtihani mgumu because it can't give you daily incomeKuna watu forex wanasoma week moja AF wanataka kutrade mtaliwa vichwa mpk mapumbu forex inataka watu wanaojielewa kiakili na wenye knowledge ya kutosha Incase naish kwasabab ya forex na kazi bado nafanya usiniulize kwanin sijaacha kazi
Ndo hivo yan kama unataka ufanye for life uwe na mtaji sijui dola laki ngap huko yan ela ambayo huna wenge nayokwa sababu forex bila kipato kingine cha pembeni ni mtihani mgumu because it can't give you daily income
Huu ni uongo bhnNdo hivo yan kama unataka ufanye for life uwe na mtaji sijui dola laki ngap huko yan ela ambayo huna wenge nayo
Anza na kujifunzaPG NO: 2/7
NARUDIJE FOREX
Nimeeleza maamuzi ya kurudi forex kwene pg 1/7
Hatua ya kwanza
Nimefungua Demo acc kwa ajili ya kumonitor acc yangu Real
View attachment 2832447
Nimepewa Dollar 100,000
Lakini piya nimetafuta acc yangu ya zamani niliwai kufungua na Templerfx
Hii nilikua nimedeposit dollar 50 (50$) nikaliwa zote zikabaki 0.83
View attachment 2832450
Mnashauri nianze na sh ngapi
Bora Ubet Mara 100, Forex ni pure Scam.Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
Trading is business and not a lotteryWakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
Acha kufananisha forex na utumbo wa ajabu, kuisoma forex mpaka kuielewa na kuimudu sio kitu kirahisi na ninakuhakikishia kuielewa forex ni ngumu zaidi ya degree nyingi za bongo.Forex na betting Ni yale Yale ,Tena kama unafanya analysis na kufuatilia game , betting Ni rahisi mno na unapiga pesa ,Tena Kwa hizo mitaji zenu za forex ukiingia nazo betting unapiga pesa mpaka unaona maisha Ni rahisi ....imagine una mtaji WA $50 sawa na 125,000,,,kwenye betting huo Ni mtaji mkubwa mno ...
HayaHuu ni uongo bhn
Beside forex trading side hustle ni muhimi ikuboost kipindi kigumu cha sokoNdo hivo yan kama unataka ufanye for life uwe na mtaji sijui dola laki ngap huko yan ela ambayo huna wenge nayo
Wewe jamaa unaleta ujuaji sana wanzako walikua ivyoivyo km ww ila baada ya kupigwa vibaya na forex wamerud wapole kwa iyo na ww ni suala la muda tu.Acha kufananisha forex na utumbo wa ajabu, kuisoma forex mpaka kuielewa na kuimudu sio kitu kirahisi na ninakuhakikishia kuielewa forex ni ngumu zaidi ya degree nyingi za bongo.
betting haihitaji kusoma chochote ni kufuatilia mpira tu nakubashiri matokeo hata darasa la saba failure wanabet na wanapiga hela.
Ila forex ukianza kujifunza ukiwa form six utaielewa na kuimudu baada ya kumaliza chuo ambapo akili itakuwa imepanuka na uelewa umeongezeka mihemko imepungua na macho yamefunguka kuwa forex is not get rich quick scheme bali ni your lifetime daily job or side hustle.
Kujipima kuwa umepata faida gani kwenye forex ni at least miezi mitatu mpaka mwaka mzima wa kutrade daily, wengi wanakimbilia betting kwa sababu haihitaji kutumia akili bali ni kuzijua team tu na uwezo wake, kushindwa kuielewa forex kusiwafanye mjifariji kuifananisha na betting.
Forex ni game ya magenius wanaoelewa soko la fedha linavyofanya kazi, na uchumi wa dunia unavyoenda, usifananishe na simba na yanga nani atashinda hiyo hata muuza kahawa anaweza.
mdogo wangu sijisifu najua ila nakuelekeza kwamba hujui chochote kuhusu forex, hao wanaopigwa wana akili kama zako wanafanya gambling kwenye game ya maprofessionalWewe jamaa unaleta ujuaji sana wanzako walikua ivyoivyo km ww ila baada ya kupigwa vibaya na forex wamerud wapole kwa iyo na ww ni suala la muda tu.
Kuliko ufanye forex, ni mara mia usuke mkeka!, karibu tulisongeshe mikekani!Wakuu binafsi nilianza kubet 2012 nikaja kuacha 2016
Pia niliijua forex 2017 nikafanya nakushindwa nikaacha nikarudi kisha nikaacha 2019.
Sasa Nataka nirudi tena kwnye forex nimegundua tatizo forex si kama betting forex kama unajua unajua na kama hujui hujui.
KWANINI NILIACHA
Kulingana na ugumu wa kuipatia kufanya analysis nilikuja kuamini labda ni matapeli
au kuna namna wana manipulate soko au pips kukufanya uloose
NANI AMENI MOTIVATE
kuna staff mwenzangu hapa anapiga hadi laki 7 forex hihii hiii mwanzo nilikua nasikia watu wanapiga hela ila sikua na real life example.
WANASEMA KUONA NI KUAMINI NAMI NIMEONA
PG NO: 1/7
Kifupi kwenye forex hisia na greed zikae pembeni.Acha kufananisha forex na utumbo wa ajabu, kuisoma forex mpaka kuielewa na kuimudu sio kitu kirahisi na ninakuhakikishia kuielewa forex ni ngumu zaidi ya degree nyingi za bongo.
betting haihitaji kusoma chochote ni kufuatilia mpira tu nakubashiri matokeo hata darasa la saba failure wanabet na wanapiga hela.
Ila forex ukianza kujifunza ukiwa form six utaielewa na kuimudu baada ya kumaliza chuo ambapo akili itakuwa imepanuka na uelewa umeongezeka mihemko imepungua na macho yamefunguka kuwa forex is not get rich quick scheme bali ni your lifetime daily job or side hustle.
Kujipima kuwa umepata faida gani kwenye forex ni at least miezi mitatu mpaka mwaka mzima wa kutrade daily, wengi wanakimbilia betting kwa sababu haihitaji kutumia akili bali ni kuzijua team tu na uwezo wake, kushindwa kuielewa forex kusiwafanye mjifariji kuifananisha na betting.
Forex ni game ya magenius wanaoelewa soko la fedha linavyofanya kazi, na uchumi wa dunia unavyoenda, usifananishe na simba na yanga nani atashinda hiyo hata muuza kahawa anaweza.
UnajidanganyaMe huwa natafuta sana mtaji niingie kwenye kubet ni basi tu mipango inakataa hata hela ninayopata kwa kufanya vibarua vya deiwaka inaishia kwenye mahitaji muhimu tu bila kuwa na akiba yoyote kwaiyo nikibet stake zangu ndio buku ikizidi sana buku 5. Lakini ningekua na mtaji wa kuanzia laki mbili hivi kama hao watu wa forex mchongo wa kubet ungeshanitoa kimaisha.