mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,462
Hawa jamaa wa umbwe sec kwa wale tuliokuwepo kule miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni Jesca akiwa mdogooo, mnakumbuka
_ umbwe walikuwa vibonde wetu mpirani wa miguu
_kikapu
_tulikuwaga pia na pool table
_ darasani
_ dancing , wadada wa machame na weruweru walipenda kucheza zaidi,na lyamungu, pale palikuwa na bwawa la kuogelea, n.k, basi umbwe nyongo zinawatoka kwa hasira
_ umbwe kikubwaa waliweza mbege zaidi, mbege za kibosho umbwe ziliwakoma
Huu ni utani wa shule majirani , ila baadaye hiki kizazi kipya nasikia walikuja vurugana vibaya sana na kuumizana
lyamungo na umbwe nadhani sasa ugomvi uliisha
Vipi wewe mlikuwa na watani?