Umbumbumbu wa mashabiki wa simba

juan de otaru

JF-Expert Member
May 23, 2013
211
113
Binafsi nimetokea kushtuka Sana na mashabiki wa mikia fc, baada ya kuishiwa na kelele za yanga kubwebwa wamekuja na topic mpya yanga ananunua mechi, jamani ndo maana Rage aliwapa Hilo jina, mbumbumbu. Jengeni timu, usajili wenye mantiki, umoja Tu utawarudisha kwenye ubora.

#Huu mchezo hauitaji hasira
 
Binafsi nimetokea kushtuka Sana na mashabiki wa mikia fc,baada ya kuishiwa na kelele za yanga kubwebwa wamekuja na topic mpya yanga ananunua mechi,jamani ndo maana rage aliwapa Hilo jina,mbumbumbu.jengeni timu ,usajili wenye mantiki,umoja Tu utawarudisha kwenye ubora.#huumchezo hauitaji hasira
Wakiona kuna duka linauzwa hizo mechi na wao si wakanunue basi!!!???
 
Kama hawana pesa ya kununua mechi waseme tuwakopeshe pia tuwaonyeshe duka la kununua mechi wakishinda zilizobaki walipe deni tunaanza na wanaramba ramba leo.
 
Sana timu ya kawaida Sana,haina balance akimiss kiiza au juuko shida,njoo yanga kila number watu wawili au zaidi WA ukweli ,mikia fc jipangeni ili soka itende haki kwenu,#huu mchezo hautaki hasira viva yanga
 
Umekaa na mkeo kibarazani anapita jirani yenu na gari mkeo anakwambia baba fulani jirani yetu kanunua gari sisi hatuna hata baiskeli unamjibu kirahisi tu majizi hayo yasikusumbue.
Au unaanza oooooh! Mke wangu yule jamaa ni mchawi ndio maana sisi hatufanikiwi! Badala ya kujituma na kuongeza bidii unaanza kumuonea wivu jirani yako.
 
Leo wanakichapa na matajiri wazee wa mafriji lakini ndo wanaongoza kwa kula vilivochacha na mafriji wanayo...
 
Uwezo wao wa kufikiri ndio umefikia pale,na ndio maana boss wao pope juzi tu hapa kawaita wapumbavu,hlf cku ya pili anawaambia anamrudisha okwi,wanampigia makofi,kweli hii mijamaa ni mbu3
 
Nyie mashabiki wa Vyura fc.. a.k.a Jecha team.. acheni majungu nyie. . Simba ndo timu bora Tanzania. . mko na midomo kama wake wenza bana! ebo! ??
 
Back
Top Bottom