K Kadudu24 Member Joined Jan 12, 2013 Posts 20 Reaction score 9 Jul 3, 2013 #1 Inashangaza kwa kweli kwa nchi kubwa kama Tanzania inayo sifika kwa amani utulivu na upendo na vitu vingine vingi ila kwenye usafitu ndo tumefeli,eti jiji kuu kama dar halifanyiwi usafi wa uhakika mpaka wageni waje kweli..kweli!!!?
Inashangaza kwa kweli kwa nchi kubwa kama Tanzania inayo sifika kwa amani utulivu na upendo na vitu vingine vingi ila kwenye usafitu ndo tumefeli,eti jiji kuu kama dar halifanyiwi usafi wa uhakika mpaka wageni waje kweli..kweli!!!?
S salum mabura Member Joined Jun 16, 2013 Posts 67 Reaction score 5 Jul 3, 2013 #2 Wachafu ni sisi wananchi na sio jiji!