Umbea mtaani

Babycute

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
81
Reaction score
16
Habarini wana MMU, jamani kuna watu wanaboa sana mitaani sijui ni umbea au ni nini, yani ukipata mgeni nyumbani kwako watu macho juu wanataka kujua huyo aliyekuja ni nani na amefata nini yani ni shida.

Ndio maana wengne wanapigwa kwa hili mitaani.
 
hahahahahah ulimshusha shem kwa geto nini...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…