Tatizo sio umateka wa fikra, tatizo ni namna gani fikra za vyama vingi tumizitumia kujenga uchumi.
Kwa mtazamo mwengine ni kuwa siasa za vyama vingi ni mzigo mzito hasa kwa nchi kusini mwa jangwa la Sahara.
Fikra za kimapinduzi na haraka
Sio kweli. Jana Wazalendo wa Libya wamekomboa mji uliyokuwa umetekwa na ISS, kwa msaada wa Kijeshi toka Ufaransa, Uingereza na Marikani. (BBC, Aljazeera)Hebu nenda sasa hivi Libya kayaseme hayo maneno yako kama ukukatwa kichwa.
Na magaidi wa ISS, Al Qaida wanafadhiliwa na Marekani na Israel au ili ulipendi kulisikia sababu linawagusha wazungu ambao ni miungu watu.
Hahahaha!! Nilijua tu lazima utapinga maana ni habari ambayo utaki kuisikia maana inawagusa watu unaowapenda.Sio kweli. Jana Wazalendo wa Libya wamekomboa mji uliyokuwa umetekwa na ISS, kwa msaada wa Kijeshi toka Ufaransa, Uingereza na Marikani. (BBC, Aljazeera)
Yenye lengo la kuhimiza wananchi kujiletea maendeleo na kushirikiana na chama husika kutatua changamoto za kujikwamua kimaendeleo. Si mukutano ya kampeni yenye lengo la kuwahamasisha wananchi wapunguze imani yao kwa serikali iliyochaguliwa kihalali. Jukwaa la kuikosoa serikali ni kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari na bungeni pia kupitia asasi zisizo za kisiasa.Sheria yakuanzisha chama cha siasa nipamoja na mikutano ya Hadhara
Ndugu yangu huo sio ushahidi, ni simulizi za watu ambao waanaweza kuwa hata wahuni tu. Kati ya Israel na Mataifa ya Kiarabu vituko vya kulishana maneno viko vingi mno.Hahahaha!! Nilijua tu lazima utapinga maana ni habari ambayo utaki kuisikia maana inawagusa watu unaowapenda.
Ngoja nikupe darsa ujue hii dunia inavyokwenda acha kukariri tu.
Angalia hii video.
Halafu angalia na hii pia.
Hahahahahaha!!!nasikia hata zile boti za raia wa Libya zinakwenda Ulaya na kufia kwenye maji baharini ni simulizi za wahuni tu Libya sasa hizi wana maisha mazuri sana toka wamuue Gaddafi.Ndugu yangu huo sio ushahidi, ni simulizi za watu ambao waanaweza kuwa hata wahuni tu. Kati ya Israel na Mataifa ya Kiarabu vituko vya kulishana maneno viko vingi mno.
Uko dunia ipi we we?Eti Gaddafi aliwakandamiza raia wake ndivyo ulivyokaririshwa???
Mwingine huyu naye amebakia kukariri tu sasa hivi Gaddafi hayupo maisha yakoje huko Libya?Uko dunia ipi we we?
Gadaff anamchango wake ilivyo Libya leo, na haya huwa ni matokeo ya tawala za kidikteta ambapo hufika mahali watu wanachoka kutawaliwa kwa mkono wa chuma pasipo uhuru wa kuhoji, kudadisi na kutafakari juu ya taifa lao, binadamu mpe kila kitu lkn usimnyime uhuru wa kuhoji, kumpa kila kitu kisha ukamnyima uhuru huo unatengeneza hatari mbele ya safariMwingine huyu naye amebakia kukariri tu sasa hivi Gaddafi hayupo maisha yakoje huko Libya?