Umasikini

Umasikini

Joseph Mmassy

Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Ni nini kinasababisha UMASIKINI Tanzania; Je, ni Ukoloni Mamboleo au Ni Watanzania wenyewe?
 
Kaka huku ni mapokezi tu....kuna jukwaa la Siasa...
Ila Karibu sana mkuu
 
Nadhani mada hii ingefaa zaidi kama ungeipeleka katika jukwaa la great thinkers. By the way, Karibu sana JF
 
Back
Top Bottom