S sacrifice 01 New Member Joined Mar 22, 2024 Posts 1 Reaction score 5 Jan 18, 2026 #1 yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,265 Reaction score 14,516 Jan 19, 2026 #2 Kikubwa mnapumua, mkiambiwa mumuamini mungu hamtaki mnamkimbilia mwamposa.
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,205 Reaction score 12,504 Jan 19, 2026 #3 sacrifice 01 said: yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana Click to expand... Isomeke 'unadhalilisha' mkuu najua sie wabantu 'r' na 'l' ni mtihani. Ila umeeleweka. Ila illegal means ni kuchukua risk kubwa sana kwenye kuukwepa ukata ufuta, asante.
sacrifice 01 said: yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana Click to expand... Isomeke 'unadhalilisha' mkuu najua sie wabantu 'r' na 'l' ni mtihani. Ila umeeleweka. Ila illegal means ni kuchukua risk kubwa sana kwenye kuukwepa ukata ufuta, asante.
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,111 Reaction score 27,699 Jan 19, 2026 #4 sacrifice 01 said: yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana Click to expand... Huna haja ya kujilaumu kupita kias, inasm3kana kuwa uwepo wa pesa sio mpango wa mungu. Ni mpamgo wa binadamu mwenye ubinafsi ndani yake
sacrifice 01 said: yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana Click to expand... Huna haja ya kujilaumu kupita kias, inasm3kana kuwa uwepo wa pesa sio mpango wa mungu. Ni mpamgo wa binadamu mwenye ubinafsi ndani yake
adriz de mbusii JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 16,786 Reaction score 37,803 Jan 19, 2026 #5 Mjusi Sharobalo said: Kikubwa mnapumua, mkiambiwa mumuamini mungu hamtaki mnamkimbilia mwamposa. Click to expand... Tokea ujiunge Jf Leo umeongea point kubwa sana
Mjusi Sharobalo said: Kikubwa mnapumua, mkiambiwa mumuamini mungu hamtaki mnamkimbilia mwamposa. Click to expand... Tokea ujiunge Jf Leo umeongea point kubwa sana
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,265 Reaction score 14,516 Jan 19, 2026 #6 adriz said: Tokea ujiunge Jf Leo umeongea point kubwa sana Click to expand... Huku ni kunikazia sasa, madini yote hayo ambayo huwa natema huyaonagi!
adriz said: Tokea ujiunge Jf Leo umeongea point kubwa sana Click to expand... Huku ni kunikazia sasa, madini yote hayo ambayo huwa natema huyaonagi!
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,233 Reaction score 20,527 Jan 19, 2026 #7 sacrifice 01 said: yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. Click to expand... Hua inachukua muda sana kuielewa historia ya Pablo Escobar
sacrifice 01 said: yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. Click to expand... Hua inachukua muda sana kuielewa historia ya Pablo Escobar
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,590 Reaction score 19,842 Jan 19, 2026 #8 Aisee