Umasikini una siri zake kama ilivyo utajiri

Empty container for sale

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
2,503
Reaction score
1,989
Kila kitu kina siri hapa duniani.

Mwaka 2017 wakati nipo mkoani nilipata kusoma kitabu kinaitwa secret of mind.

Baada ya kusoma hiki kitabu nilijifunza mambo matatu ambayo yanamfanya MTU kuwa masikini.

-The power of place
-The power of association
-The power of positive thinking

kipindi nilikuwa nipo nyumbani nimemaliza kidato cha nne na kupata division zero.

Baada ya kuyaelewa haya mambo matatu nilianza kuchukua hatua zifuatazo.

The power of place - niliamua kuhama eneo nililopo na kuja DSM na mwaka 2018 nikarudia mtihani wa form four na kupata division three. ||| ufaulu wa daraja la tatu.

Hapa nilipokuwa DSM nilikuta mazingira yapo supportive ,ile hali ya kupenda kusoma iliamka na na nikaambulia division threee watu ambao mmeshawahi kurudia mtihani wa form four nadhani mnajua sio mchezo kupata division three.

Baada ya hatua nyingine niliochukua ni the power of association watu wa kuambatana nao , asikuambie mtu kama utaambatana na watu wenye tabia za uvivu , chuki , ulevi basi watakuambukiza hizo tabia , mimi baada ya kufika dsm nilijitahidi kutafuta marafiki wanaojitambua Sana ambao akili zimesimama na wana njaa ya mafanikio.

na mwisho nilikumbatia Sana The power of positive thinking.

nilianza kuwa mtu wa kuwaza mambo chanya na kuamini kuwa maisha yangu mimi mwenyewe ndo ntaweza kuyabadilisha na sio mtu mwingine.

Kwa kuhitimisha Leo hii Nina degree

Pia nina Biashara ambayo imesimama

Nina kazi au ajira rasmi .

Watu ambao waliona matokeo yangu 2017 nilivyopata zero Leo hii wamebaki midomo wazi.

Hivyo ikiwa utajiri Una siri hata umasikini una siri zake mimi niligundua hayo mambo matatu and now I'm no longer a poor

Pia point moja nimeissahau inaitwa
"Give back"- hakikisha unakuwa mtoaji hii inakutengenezea good karma and you will reap soon or later.
 
Sisi tuhishi humu
Somo zuri sana familìa
 
Mwanzoni inaonyesha ilikuwa bado kuyafahamu maisha,michezo mingii na pia shule haikuwa kipaumbele.Ila hongera kwa mafanikio bila shaka utakuwa mwalimu bora katika hilo.
 
Unaweza Pdf hapa au Jina kamili la kitabu na mwandishi.
 
Unaikumbuka exact title ya hiko kitabu? Nimejaribu kutafuta online sijakipata
 
Back
Top Bottom