Kilio cha kuongezeka kwa umasikini ndani ya muda mfupi tu wa utawala wa Rais Magufuli si jambo la kubishana.
Watu wanalalamika sana ugumu wa maisha hadi baadhi wamefikia hatua ya kujiua either kwa kushindwa kurejesha mikopo ya benki walipokopa au kushindwa kuhudumia familia. Nina mifano mingi kuonyesha kuwa awamu hii imetusababishia umasikini zaidi kuliko awamu zilizopita-
1. Biashara zimekuwa ngumu sana,kwakuwa purchasing power ya watanzania imeshuka sana, biashara pekee iliobaki atleast na unafuu ni ile ya vyakula lakini sio nguo au manukato au vyombo etc
2. Watu wengi sana wamefunga biashara zao kwakukosa uwezo wa kulipia kodi za frem, na fremu nyingi kwa sasa ziko wazi na kodi yake imeshuka! hakuna biashara, uchumi wa mtu mmoja mmoja umeshuka
3. Mabenki yanatangaza hasara, watu hawakopi tena kwakuwa hawana tena uhakika wa wafanye biashara ipi ili wapate faida
4. Vyakula vimepanda bei maradufu, kununua mfuko wa unga wa mahindi wa kilo 25 ni zaidi ya Tsh 50,000, sukari juu, kiufupi nafaka zote zipo juu; WATU WA MAISHA YA CHINI NDO WANAOUMIA ZAIDI
4. Mitaani watu hawana raha, ukimya umetawala, ile neema na nuru iliyokuwepo kipindi cha JK yote imepotea.
Hali hii hadi lini? inamaana tulichagua serikali ili ije itufanye masikini zaidi ya tulivyokuwa mwanzo! "Ukilalamika unaonekana eti ulikuwa mpiga dili", ni mpumbavu pekee anayeamini kuwa huu utawala una baraka za Mungu