'Umalaya' husababishwa na nini?

'Umalaya' husababishwa na nini?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Tujadili pamoja,tabia ya umalaya,husababishwa na nini hasa,na ni kundi gani ndani ya jamii linaloongoza? Yaani wanandoa,wanafunzi, house girls,wamama wa nyumbani,wafanyakazi,ma bar maida au?...🙂😵
 
1nyege 2 pesa 3kutafuta mwenye mashine tata4 kutafuta mahandsome na onyinyez@wanaoongoza hakuna coz haibagui dini,kaz,mtu,wala kabila
 
Tabia ya mtu na kutoridhika na ukipatacho,wengine wanapata kila kitu ila hiyo ndio inakua HULKA yake,na haina nani ziada
mwanamme anaweza kua mkewe anampa na anajitahidi kua mke bora, lakini haridhiki sasa nenda kaone hicho kituko alicho
chukua utajiuliza kwani haoni pua zake hazivuti sawa sawa? manake huyo anetoka nae hata mfanya kazi wake wa ndani msafi,sasa hapo ndio watu kama hao wananiwacha HOI...
 
Tujadili pamoja,tabia ya umalaya,husababishwa na nini hasa,na ni kundi gani ndani ya jamii linaloongoza? Yaani wanandoa,wanafunzi, house girls,wamama wa nyumbani,wafanyakazi,ma bar maida au?...🙂😵
Tuanzie hapa "wewe ni malaya"?
 
Pengine ungejitahidi kutuelezea maana hasa ya "Malaya" kwa tafsiri yako na uzi huu ili sisi wachangiaji tuongezee.

Katika vita vya mapokeo Yesu Mnazareti alisema "na mtu mume akimwangalia mwanamke kwa kumtamani huyo azini nae." Kwa tafsiri hii kama sio wote basi wengi wetu tu malaya.
 
Tabia ya mtu na kutoridhika na ukipatacho,wengine wanapata kila kitu ila hiyo ndio inakua HULKA yake,na haina nani ziada
mwanamme anaweza kua mkewe anampa na anajitahidi kua mke bora, lakini haridhiki sasa nenda kaone hicho kituko alicho
chukua utajiuliza kwani haoni pua zake hazivuti sawa sawa? manake huyo anetoka nae hata mfanya kazi wake wa ndani msafi,sasa hapo ndio watu kama hao wananiwacha HOI...
nimependasababu zako,ngoja na mie niongezee,kulipa fadhila,shida,umasikini,tamaa,kutofikishwa kilmanjaro nk
 
ni suala la kigenetics zaid yaan sisi malaya hatujipendei tumeumbwa tuwe ivo
 
Kwa kweli Kwa upande wa timu chura sababu kubwa ni Tamaa ya pesa na maisha yaliyojaa starehe tu
 
Back
Top Bottom