Umakini katika Habari-TV

Enginier

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
276
Reaction score
36
Leo nimeona katika habari ya saa mbili makosa ya uandishi na si mara ya kwanza. Ni vyema waandishi wetu wawe makini zaidi ili kuonyesha weledi ktk taaluma yao. Kosa kama hili ni dogo lakini halipendezi kuonekana ktk TV..
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1368989963323.jpg
    63.3 KB · Views: 215
Sijagundua tatizo hapo.
Kama ni hayo maandishi ya chini ni kawaida inapotokea habari mpya au breaking news au uodates ya taarifa fulani.
 
Onyesha kosa ili tuchangie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…