Amosi Hezron
Member
- May 4, 2019
- 10
- 9
Mbwa huyu anae julikana kwa Jamii ya Belgianmalinois ni mbwa ambae wanaupekee kwa ulinzi,upendo katik familia pia ni rahisi kufundishika na wananidhamu mno they are the best choice for a guard dog they are available