Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, CCM inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.
Hadi tuchukue nchi cos kila kitu cha magamba kuanzia chipukizi mpaka jwtzmpaka nasisi tukiamua kuukomesha huo umafia!
Usituletee jazba zako za kikurya hapa. Badala ya kueleza kilichotokea kwa data na ushahidi unaibuka na tuhuma za hovyo kama kiswahili chako!
Ni mpaka pale Watanzania watakapokuwa wakiwazomea USALAMA WA TAIFA mahala popote watakapokuwa wanaonekana, kwasababu wao ndiyo wanapanga mauaji hayo kwa kushirikiana na GreenGuard.Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, CCM inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.
Kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na CCM kwa wakara wetu huko Iginga, hamwezi kuipa kura tena CCM katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa JF mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, CCM inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.
Kumeshindikana nini kwa hizo picha mkuu mpaka hivi sasa?
kwa wale wachache mlioweza kushuhudia mauaji yaliyoendeshwa na ccm kwa wakara wetu huko iginga, hamwezi kuipa kura tena ccm katika maisha yenu. Picha ninazo (siyo nzuri kabisa) na kama wadau wa jf mkihitaji, nitaziweka hapa ili mtoe maoni yenu. Kwa hali hii, ccm inatakiwa kufutwa mara moja kutoka kwenye orodha ya vyama vya siasa.