Umafia haujaanza leo. Nakumbuka kiongozi fulani aliwekewa sumu kwenye microphone wakati wa kuhutubia ili afe lakini...


Unga wa mahindi!
Hawa wanasihasa hawa!
 
R.I.P Dr Omari Ali Jumaa
 
Nakumbuka ilikua tarehe 04.07.2001 kama sijakosea ingawa nilikua mdogo lakini nilielewa
Yah siku chache kabla ya sabasaba....mchana kahutubia namuona kwenye runinga kesho yake asubuhi ndio habari zikaanza kusambaa kwamba kafa usiku.

Radio mbao zinasema alikuwa akiunga mkono Pemba kujitenga, wakati mapema mwaka huo huo BWM alikuwa amefanyiza visiwani.
 


Ahaaa haaa haaa
Ahaaa haaa haaa
umenikumbusha lodi lofa mwenye kauli zenye utata.
Teh teh teh tihiii
 
Unakumbuka kifo cha huyo Mkemia mkuu lakini??? Alifia wapi?? Wakati kaenda kwenye sherehe za mwanae za kidato cha nne???
 
do! hongera umetengeneza stori ya mtego iliyoleta majibu mengi sana ambayo inatufanya tuchangamshe ubongo na kufanya tuwe na uwelewa mpana sana hata kama tutakavyowaza vingine sio sahihi lakini naamini itasaidia sana katika uelewa na kutafsiri mawazo ya watu wanazoweza kufikiri.
 
Ushaambiwa hakuwa target ndiyo maana Mheshimiwa Mudhihir Moh'd Mudhihir, Mbunge wa Mchingaaa enzi hizo alianza kulia baada ya kuona chezo limegoma alietegewa tego amepata emergency na kumtuma msaidizi wake.
Jumatatu njema, ngoja tuingie mjengoni.
 
Umenikumbusha miaka 5 iliyopita bwana mkubwa alikwepa mzinga akiwa Morogoro kwenye kikao cha Tanroad na leo jamaa ndo Top manyota. ..

Nawashangaa sana watoto wa leo wasioijua Tz, utawala si lelemama kama michezo yenu ya kubeti eti. Msione watu wako pale juu wamekwepa mishale mingi na mishale haijaanza leo na wala haijaaanzia Tz ..fuatilieni akina Kennedy, Arafat, Luther n.k.

Mapambano yako kote kote likikupata unaondoshwa tu. Dunia uwanja wa fujo, starehe ni sehemu ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…