huu ni ukweli chadema inakaribia kuwa mfu. viongozi wake ni udhaifu katika kuiendesha chadema kama taasisi lakini mbaya zaidi wamekuwa wakikosa busara kila mara kwa kukosa lugha nzuri. upinzani bungeni umekuwa vichekesho kabisa. wameshindwa kumliza Mizengwe aliyepinda hata pale alipovunja wazi wazi katiba aliyoiahidi kuilinda. wote mnakumbuka Mizengwe iliyopinda alivyoililia nafasi yake bungeni baada ya kubanwa na upinzani makini lakini sio huu wa vurugu wa chadema. shame upon chadema