Safi sana kenya kwa juhudi za kukamilisha ujenzi wa reli yenu kuunganisha nchi za afrika mashariki, vp mbona hamjafanya diversion reli ije na Tanzania maana sisi huku hatutaki kuibiwa na wachina lakini tutajenga na sisi baada ya miaka kama ishirini ijayo!