MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 328 Sep 2, 2014 #1 Nani anawezaa kuchora kama hivi na Kwa Bei Gani..??? Attachments 1409686588005.jpg 79.6 KB · Views: 335
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Sep 2, 2014 #2 Kuchora au kuandika hayo maandishi?
MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 328 Sep 2, 2014 Thread starter #3 Honey Faith said: Kuchora au kuandika hayo maandishi? Click to expand... Kuandikaa na kuchora hivyoo
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 699 Sep 2, 2014 #4 nadhani stika zimetumika kuchonga ahyo maneno,.. its a kind of graffit!!
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,705 Sep 2, 2014 #5 Badala ya kupiga picha na kuja kuuliza huku ungeingia hapo ndani na kuulizia wenye salon ni nani amewachorea na kwa bei gani.
Badala ya kupiga picha na kuja kuuliza huku ungeingia hapo ndani na kuulizia wenye salon ni nani amewachorea na kwa bei gani.
MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 328 Sep 4, 2014 Thread starter #6 iTech said: Badala ya kupiga picha na kuja kuuliza huku ungeingia hapo ndani na kuulizia wenye salon ni nani amewachorea na kwa bei gani. Click to expand... Nimetumiwaaaa hiyooo kitu nikaipendaaa...so napendaaaa Kujuaaa zaidi..
iTech said: Badala ya kupiga picha na kuja kuuliza huku ungeingia hapo ndani na kuulizia wenye salon ni nani amewachorea na kwa bei gani. Click to expand... Nimetumiwaaaa hiyooo kitu nikaipendaaa...so napendaaaa Kujuaaa zaidi..