Ulizo kuhusu utaratibu wa kujiunga na Chuo cha Maendeleo ya Jamii Iringa

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,309
942
Habari wakuu

TAMISEMI walivyotoa majina ya kujiunga na kidato cha tano na chuo, mwanangu amechaguliwa kwenda Chuo cha Maendeleo ya Jamii Iringa. Nilitaka kufahamu utaratibu wa kujiunga anatakiwa akachukue form kwenye iko Chuo Iringa au kuna taratibu zipi?
 
Hatua ya kwanza ni kudhibitisha kuwa mwanafunzi ataenda kusoma chuo husika. Hii inafanyika ukiingia kwenye website ya chuo hicho, ingia kipengele cha matangazo pale mwanzoni kabisa utakutana nacho na utathibitisha (kuna utaratibu upo mpaka kukamilisha).

Baada ya hapo itabidi kupata joining instruction ya chuo husika, nimejaribu kupitia kwenye website yao kwasasa naona joining instruction ya mwaka jana, ya mwaka huu inaonekana bado hawajaweka.

Kuhusu fomu ya kujiunga, jaribu kutembelea website zao mara kwa mara ili kupata joining instruction ya mwaka huu maana iliyopo ni ya mwaka jana.

Kama kutakuwa na maswali zaidi unaweza pitia website zao kuna mawasiliano yao kisha wasiliana nao moja kwa moja kwa uhakika zaidi.

Kwa msaada wowote tunaweza wasiliana pm.

IMG_20200703_123853_475.jpg
 
Habari wakuu

TAMISEMI walivyotoa majina ya kujiunga na kidato cha tano na chuo, mwanangu amechaguliwa kwenda Chuo cha Maendeleo ya Jamii Iringa. Nilitaka kufahamu utaratibu wa kujiunga anatakiwa akachukue form kwenye iko Chuo Iringa au kuna taratibu zipi?

Kwanza, athibitishe NACTE kwamba anaenda chuo hicho. Nacte- Uthibitisho

Pili, wasiliana na chuo husika
KAPs
 
Back
Top Bottom