Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,765
- 2,684
Unaweza kutafuta clients wa System?nataka kuwa sales agent wa tally, quickbook, accpac, patsel, navision nipe maekezo
Natafuta ERP accounting software, iwe web base
ERP kirefu chake ni nini ? Sema nione If It is what I have
ERP is short for enterprise resource planning. Enterprise resource planning (ERP) is business process management software that allows an organization to use a system of integrated applications to manage the business and automate many back office functions related to technology, services and human resources.
Ni software inayokusaidia kufanya baadhi ya task ikiwemo, kulipa mishahara kwa wakati.( 10 to 30 minutes) ambapo earnings na deduction zinajicalculate zenyewe kadri ulivyoseti. Pia unaweza kutuma payslip kwa kila employee per single clickswali la kwanza hicho unachozunguzia nini?, pili weka mfano wa soft amabayo inaweza kufanya kazi kwa mahesabu ya kampuni
Ofisi nyingi kazi hii hufanywa na mhasibu au cashierNilisha wah kusoma kidogo kuhus account software swali ni je akina nani kwenye kampun wana appload data kwenye hiyo software?
Kuna software inaitwa Sage one Accounting ni web, based inafanya vitu vingi.Pia ni cheap inauzwa just usd 180 kwa license ya mwaka. Ntafute katika :0713-039875Natafuta ERP accounting software, iwe web base
Ntafute kwa namba:0713-039875 tukubalianenataka kuwa sales agent wa tally, quickbook, accpac, patsel, navision nipe maekezo
ERP ni program inawezesha kufanya managerial decision. Kwa sababu bila taarifa, huwezi fanya maamuzi sahihi.So, ERP unaporecord taarifa za kila siku za mapato na matumizi inakupa report mbali mbali ikiwemo; Most potential customers, most potential suppliers, most seller stocks. Pia ERP inaandaa customized document e.g. receipts or invoice with your full adress, name of business, logo etc.ERP kirefu chake ni nini ? Sema nione If It is what I have
unaweza kuendelea na swali pili mkuuNi software inayokusaidia kufanya baadhi ya task ikiwemo, kulipa mishahara kwa wakati.( 10 to 30 minutes) ambapo earnings na deduction zinajicalculate zenyewe kadri ulivyoseti. Pia unaweza kutuma payslip kwa kila employee per single click
Mfano; Sage pastel Evolution na VIP premier payrollunaweza kuendelea na swali pili mkuu
Pia hizi software zina sifa za pekee kutoka software moja hadi nyingine. Mfano Sage Pastel Evolution ina uwezo wa kutrack users wake, nani alifanya nini na lini? Pia unaweza kutoa report katika currency hadi 30.Mfano; Sage pastel Evolution na VIP premier payroll