Uliza chochote kuhusu udsm duce

Uliza chochote kuhusu udsm duce

Cephalocauda

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
62
Reaction score
14
Kwa wale waliochaguliwa DUCE Karibu kwa maswali na majibu kuhusiana na college hii ya elimu pale CHANGOMBE
 
mbona kuna uzi humu tayar wa hii kitu,but isiwe shida hiv admission letter upewe unatakwa kuonyesha vitu gan?
 
mbona kuna uzi humu tayar wa hii kitu,but isiwe shida hiv admission letter upewe unatakwa kuonyesha vitu gan?

Ukifika chuon Wakat wa orientation utapewa Maelezo yote wala uitaji kuonesha chochote zaid ya kutaja degree program yako pamoja na jina lako
 
Back
Top Bottom