Uliyefanikiwa kupitia blog/website, naomba ushauri

Uliyefanikiwa kupitia blog/website, naomba ushauri

Shobi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,401
Reaction score
4,371
salamu kwenu!
Nilifanikiwa kuanzisha blog na website tofauti mpaka sasa si chini ya tano lakini naona zote zikifa polepole hazifanikiwi kabisa licha ya kumiliki account ya google ya matangazo naona google nao ni wazinguaji hawatoi matangazo kwenye kiswahili sasa nilibakiwa na blog 1 ya kiswahili angalau inadumia pageviews kidogo kwa sababu stori zake ni za kibiashara naombeni ushauri kwako kama umewahi pata mafanikio kupitia blog
Page view ya leo hapo chini...

capture-png.678705
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    5.5 KB · Views: 125
salamu kwenu!
Nilifanikiwa kuanzisha blog na website tofauti mpaka sasa si chini ya tano lakini naona zote zikifa polepole hazifanikiwi kabisa licha ya kumiliki account ya google ya matangazo naona google nao ni wazinguaji hawatoi matangazo kwenye kiswahili sasa nilibakiwa na blog 1 ya kiswahili angalau inadumia pageviews kidogo kwa sababu stori zake ni za kibiashara naombeni ushauri kwako kama umewahi pata mafanikio kupitia blog
Page view ya leo hapo chini...

capture-png.678705
Ujanja hapo ni kuwa na app ya io blog,Nloggers wote wakubwa bongo now wanatemea apps kuearn pesa za gugo lwe blog zao,,Ndio maaana za blog wengi wakubwa ukienda kwe site zao hukut matangazo ya kueleweka!! so endele kupiga kazi,Tengeneza app kwa ajili ya blog then itangaze app yako kupitia io blog,,Then thanks me later
 
salamu kwenu!
Nilifanikiwa kuanzisha blog na website tofauti mpaka sasa si chini ya tano lakini naona zote zikifa polepole hazifanikiwi kabisa licha ya kumiliki account ya google ya matangazo naona google nao ni wazinguaji hawatoi matangazo kwenye kiswahili sasa nilibakiwa na blog 1 ya kiswahili angalau inadumia pageviews kidogo kwa sababu stori zake ni za kibiashara naombeni ushauri kwako kama umewahi pata mafanikio kupitia blog
Page view ya leo hapo chini...

capture-png.678705
ukiwa na blog ya kiswahili inabidi ujiunge na matangazo ya kampuni ya seebart Ila adsence hawakubal

na vizuri ukiwa na apps ya blog yako iwekwe matangazo ili ikulipe

ukitaka apps iwekwe matangazo ikae mpk play store nitafute
 
Habari, Kwanza nikupongeze kwa kuwa na blog nzuri lakini ni kitu cha msingi kujua plan yako ni nini. Yani hapa na maanisha unafanya blogging kwaajili ya nini..? wengi hushindwa kufanikiwa sababu wanawaza pesa sana na kwa mzungumzo yako hapo juu inaonekana na wewe unatufta njia ya kutengeneza pesa.
Kifupi unachotakiwa kufanya ni kufanya blogging kwa mapenzi au kama hobby yako au kama kazi pia unaweza ukafanya kwa lengo la kusaidia wengine kupata habari, kupitia hivyo juhudi zako utaziona kutokana na kuwa blog inahitaji kujituma kama ilivyo kazi zingine.

Unatakiwa kuweka juhudi zaidi na kuandika juu ya kitu unacho kipenda hiyo itakuwa urahisi wa kuandika habari kila siku pamoja na kuandika habari au makala vizuri zaidi.

Cha msingi ongeza nguvu kwenye blog moja na amua kufanya kazi kwanza kabla ya kuwaza pesa, vinginevyo blog nzuri
 
Back
Top Bottom