Uliwezaje kuanza upya baada ya kuachwa au kuachana na mtu uliyependana nae sana

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Hakuna kitu kinachooumaa kama kuachana na mtu uliyempenda sana au mlipendana nae sana.

Hakuna kitu kinachoouma kumuona mtu uliyempenda sana akiondoka kwa furaha toka maishani mwako huku akikuachia maumivu

Hakuna kitu kinachouma kama kukubali matokeo kumuachilia mtu uliyempenda aondoke toka mikononi mwako aende baada ya kuona sipendwi.

Sasa hebu hii leo hebu tujadili uliwezaje kuanza maisha upya baada ya kumpoteza mtu uliyewahi kumpenda sana ukatamani abaki maishani mwako lakini akaondoka
 
Alinipenda, Nikampenda, Tukapendana... Muda ulipofika upendo ukatuacha ukaenda kwa wengine. Life goes on...
 
Mie nilikuwa muaminifu kwake, nilikuwa namtii na kumsikiliza kuanzia chumbani hadi jikoni.
Nilikuwa najituma maufundi yote, he was my lover and my friend na nilimuweka kuwa ndo mwanaume wangu hadi ntapozeeka.....

Kumbe yeye alinichukulia pass time, sikuwahi kujua wala kuona dalili sababu nilibwaga moyo kwake.
Aliniendesha kiakili wakati niko chuo yeye tayari ni muajiriwa na sikuwa namuomba hela hata hadi anipe mwenyewe.

Baada ya kumaliza chuo hata majibu hayajatoka kanimwaga mazima .....!!!

Nilikonda hadi mama akajua nina mahusiano na nimeachwa. Familia yangu iliingilia kati sijui vile nilikuwa mtoto pekoe was kike....

Nikakakata mawasiliano na niliosoma nao chuo nikawekeza akili kwenye kutafuta kazi, ndani ya miezi 4 tangu aniache nikapata kazi. Hasira yangu niliiwekeza huko aiseeeh nilikuwa na furaha kila siku, nikanawiri kila mshahara ukiingia naweka malengo mapya.

Sikuwahi mtafuta wala kutaka kujua yuko wapi na anajishighulisha na nini.

Hivyo ndo nilivyo songa mbele, miaka 29 iliyopita.
 
Aiseee soo sad soo sorry ila nimependa sana your story
 
Aseee, 29 yrs back

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Bibi shikamoo na pole na hayo ya kale
 
29 yrs ago si ndo kulikuwa na hawa wazee wanaosifiwa kwa upendo
 
na shida ya hii mitandao mara unamuona facebook anafurah anapendeza ww ndio unaendelea kukonda mapenzi sio poa
kubwa ni kukubali matokeo na kuto amini bila yy hauwezi endelea na maisha tafuta furah nyingne
na ukumbuke usiweke furaha yako kweny maungo ya mtuu utateseka maisha yako na ishi kusamehe sio kulipiza maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom