Msongo Wa mawazo au depression ni Ugonjwa kama magonjwa mengineyo kama maralia, UTI nk.
Inahitajika kuonana na madaktari na wapo mahospitalini wanatoa tiba ya kisaikolojia na madawa.
Tiba nyingine inapatikana kwenye majumba ya Ibada Onana na Masheikh au wachungaji watakusaidia. Kukuponya na kukutibu.