I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,734
- 10,041
Wakati mtu akiwa amelala kuna muda huanza kuona vitu asivyovielewa kama mizimu/watu au kitu pembeni yao na ghafla anaamka ukiwa na hofu huku akifikiri ilikuwa ni ndoto mbaya.
Basi kulingana na Wataalamu wa mambo wajulikanao kama paranomal experts wanasema inapotokea hali hiyo ni kwamba mtu huyo anakuwapo katika maono halisia kwa namna ya kitofauti.
Ni roho kweli hujitokeza na zinajaribu kuwasiliana na mtu huyo lakini kutokana na miili ya kibinadamu kuwa dhaifu, roho ya mtu hujikataa na kumuamsha haraka toka usingizini kwa usalama wake.