Ulitumia njia gani ulipogonganisha wapenzi wako?

Nilijifanya bubu ghafla nikawa naongea kwa ishara. Kesho nikamdanya kuwa yule dada wa jana jini.
 
Hadi leo namuambia tuwe tunasali sana lile jini lisirudi. Nishamueleza kuwa jini lina tabia ya kuwa na sura moja ili wakati mwingine wakikutana nitakuwa safe.
Ipo siku atakushtukia tu
 
Back
Top Bottom