Ulishawahi kuweka hiki kitu?

Dah mkuu umenikumbusha shule ya msingi. Kweli maisha hayarudi nyuma
 
Sijui hasa lengo lilikuwa ni nini ingawa nami ni muhanga wa hii kitu
 
hahaha hiyo shule za msingi na sekondari zimepigwa sana , halafu unakuta shati limewekwa bluu .
 
Wah...those days ndo ilikua fashion af ukute shati limepimpiwa na blue kwa mbaali..full kutokelezea!
 
Sana tu wakati nipo kuanzia la tano mpaka la Saba, nilikuwa naweka hiyo au mistari miwili, bila kusahau blue ili kuongeza umaridadi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…