hahahahahahaahaahMwaka Jana kuna mdada aliniunganisha na mdada Fulani.hivyo huyo Dada akaja kwangu siku iliyofuata Ili tuonane na kukubaliana kuhusu mahusiano.sasa wakati namuimbisha akawa kama hanielewi,ikabidi nitume ujumbe kwa aliyeniunganisha ujumbe wa nini kinaendelea huku kwangu na yule mtu aliyeniunganisha,kumbe kwa vile namba ya yule aliyekuja ilikuwa ndio ya kwanza bila kujua nikamtumia ujumbe unaosema" .... mtu wako huku haeleweki ila ngoja nikomae naye nione mwisho wake..kikubwa hapa aliwe tu." Halafu nikatuma..kumbe nimemtumia muhusika.baada ya mda nasikia anapokea ujumbe ghafla nikahisi kitu kucheki simu kumbe sijatuma kwa mhusika niliyemtaka..yaani nilihisi nipotee lakini nashukuru hakujali na mzingo nilikula siku hiyo hiyo
NAKWEDE
Hayo ndo matatizo ya kutumia smartphone mda mrefu then unahamia kwenye kitochi lazima ujichanganyeUnatumia simu ya kitochi?
Maana smartphone zote kila mtu unayechartigi nae kunakuwa na conversation yake.
Hata kukosea huwa haiwezekani.
Naamini umenisoma vema, ila siku unanipotezea sana wakati wewe ndio unaniweka mjini au umesahau wajibu wakohahahahahahaahaah
Acha kabisaMmhhh huyu alikuwa maharage ya mbeya maji mara 5 [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Simtetei mtoa mada lakin mimi yashawahi nikuta...simu za tecno sio simu.... Yaani ukiwa hujafungua ile app ya message tuseme labda upo pale kwenye menu tu... Ikija message pale chini inakupa option ya kuifungua au kuijibu hapo hapo sasa ukichagua kuijibu papo kwa hapo kipindi unaandika ikaingia message nyingine inakuja kukaa kwa juu na vile unavyotype inajiendeleza...unakuta ile message unayomtumia yule mtu wa kwanza imeenda kwa mtu aliyekutumia text mwishoni...ogopa sana hiii kitu.Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Hahaha hata mimi siamini kama unaweza kuandika bonge la tusi.Aisee ishawahi kunitokea enzi za simu ya kitochi, kuna mtu tulikua tunajibizana,akanitukana hivi,sasa nikamrudishia bonge la tusi dooh kumbe sms imeenda Kwa mshua, nilijutia sana,eti hakuamini kama Mimi ndye nimeandika vile, nimekomaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa ana roho ngumu asee[emoji3][emoji3]juzi niko na mwana sehemu,ananionyesha sms ya shemeji yangu(demu wake)imeingia muda huo huo.inasomea hivi"baby samahani naomba nitumie nauli lazima nije nlishindwa jana jamaa alikuwepo"[emoji3][emoji3][emoji3].
nikashtuka kwamba labda jamaa sijui atakuwa na hali gani,akaniangalia akacheka kisha akainama chini anasema"wanawake hawa jamani"kisha akarudishia ile sms demu wake,ah demu akajibu "Mungu wangu"
kuna mtu aliandika FB hivi.kama una cheat kuna siku moja isiyo na jina utajichanganya sms zitabambwa,utajilaumu sana[emoji16][emoji16]
Hahaaa kwanini jamani ,huwa nayaporomosha sometimes [emoji30] [emoji30]Hahaha hata mimi siamini kama unaweza kuandika bonge la tusi.
Yatakua ni yale mepesi tu [emoji1][emoji1][emoji1]Hahaaa kwanini jamani ,huwa nayaporomosha sometimes [emoji30] [emoji30]
Ohooo, hujaingia anga zangu mkuu, huwa naporomosha mpaka mtu anaumwa[emoji3] [emoji3]Yatakua ni yale mepesi tu [emoji1][emoji1][emoji1]
Ndio maana natumia hangouts ya zamani kutuma na kupokea smssio kwel bora kitochi, smart kama ujaingia kwenye conversation huwa inazingua kama msg zimetumwa 2 ile ya 2 hukaa juu na kujikuta umeitumia msg isiyo husika
Nitajaribu kutikisa kibiriti ili nione kama yaliyomo yamo.[emoji1][emoji1][emoji1]Ohooo, hujaingia anga zangu mkuu, huwa naporomosha mpaka mtu anaumwa[emoji3] [emoji3]
Mm nishakosea nikamtumia jamaa sms ya tigo pesa laki na sitini na tano elfu. Nikamtumia ujumbe kuwa hiyo ni pesa ya sadaka ya Mskitini ukiila shauri yako ila wapi nadhani mbuzi alikufa kwa muuza supu.
Mm nishakosea nikamtumia jamaa sms ya tigo pesa laki na sitini na tano elfu. Nikamtumia ujumbe kuwa hiyo ni pesa ya sadaka ya Mskitini ukiila shauri yako ila wapi nadhani mbuzi alikufa kwa muuza supu.