jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,370
Unatumia simu ya kitochi?
Maana smartphone zote kila mtu unayechartigi nae kunakuwa na conservation yake.
Hata kukosea huwa haiwezekani.
Sisi tunaotumia iPhones hakuna kitu kama hicho.. nadhani ni kwenye Tecno tu
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
😳😳😳😳😳 khaaa kuna watu humuYaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Duh watu mnafail wapi ???Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Unatumia simu ya kitochi?
Maana smartphone zote kila mtu unayechartigi nae kunakuwa na conservation yake.
Hata kukosea huwa haiwezekani.
Daaaah....usinikumbushe kabisa aiseee........
Mawazo ya kitoto kabisa sasa nakwamia hivi hakuna kinachoshindikana kwaa hii dunia
Yaaa mkuu.Uhapo kwenye red mkuu ulitaka kumaanisha conversation au?
AstaritulilahYaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Sasa ikawaje mkuu?Lahaulaa kumbe nimekosea msg nimemtumia muhusika..
sio kwel bora kitochi, smart kama ujaingia kwenye conversation huwa inazingua kama msg zimetumwa 2 ile ya 2 hukaa juu na kujikuta umeitumia msg isiyo husika
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Aisee na wewe umezidi mno! Mtake radhi mtoa Uzi we veeep!Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Huoni hata aibu smdhYaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.
Hii ni pulseLook mimi huwa natumia hii setting ya delay kabla sms hainaenda unaisoma kwanza na kuhakiki kwa sekunde utakazo ww View attachment 1252363