sio kwel bora kitochi, smart kama ujaingia kwenye conversation huwa inazingua kama msg zimetumwa 2 ile ya 2 hukaa juu na kujikuta umeitumia msg isiyo husikaUnatumia simu ya kitochi?
Maana smartphone zote kila mtu unayechartigi nae kunakuwa na conservation yake.
Hata kukosea huwa haiwezekani.
Kwelisio kwel bora kitochi, smart kama ujaingia kwenye conversation huwa inazingua kama msg zimetumwa 2 ile ya 2 hukaa juu na kujikuta umeitumia msg isiyo husika
Sio Sababu, je kama Una Simu kubwa na NdogoKama natumia tochi nmewezaje kuingia humu
sio kwel bora kitochi, smart kama ujaingia kwenye conversation huwa inazingua kama msg zimetumwa 2 ile ya 2 hukaa juu na kujikuta umeitumia msg isiyo husika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] patamu Kwa baba mkwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchepuo sio dili kaka kuwa makini kama leo umemtumia mama yako hivyo,na kesho pia mke wako atamtumia baba yake hivyo ok...?
sijawahi tumia iPhone leo ndo nimefahamu kumbe hampati shida iyo tunao tumia tecno hizi changamoto zinatufanya bongo zetu kuwa makini hata kichwani pia tunakuwa vzrSisi tunaotumia iPhones hakuna kitu kama hicho.. nadhani ni kwenye Tecno tu
Diana nakupenda sana hata wewe unajua Mimi sina mahusiano kwa sasa yule niliachana nae sio wangu
Mara paap nikaituma kwa main chick nikasikia Diana ndo nani hivi wewe unamatatizo gani "M"
Nikajibu sorry mi ni rafiki yake M ambe ndo Mimi mwenyewe apo nikadanganya..alikuwa kaniazima simu Mara moja yangu iliisha chaji nilikuwa nimetofautiana kidogo na mpenz wangu ndo nikakosea nikatuma kwako.ila jamaa ametoka kidogo
Yaani kwa mtu makini anagundua kuwa hakuna cha meseji ya aina hiyo iliyokwenda kimakosa kwa mama yako isipokuwa unataka kutuambia ama huwa unamtamani mama yako au ulishamdo kwa hiyo unatufikishia message. Anyway to hell na shetani wako.