Ulishawahi kupata mpenzi msibani?

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,976
Reaction score
14,482
Wakuu
Habari za alfajiri?
Misiba ni moja ya matukio yanayokutanisha watu mbalimbali,na wakati watu wanamsaidia mfiwa,kimazishi,kumriwadha nk lakini kuna wakati unaweza ukajikuta umempenda mtoto wa watu na kuingia nae katika mahusiano

Katika pitipita zangu hili lishawahi kunitokea ila katika angle tofauti, alikuwa ni x wangu tuliyeachana nae na akaenda Arusha kimasomo nyumbani kwao ni jirani yangu

pasipo kutarajia wala kuhisi atakuwa amerudi nilimuona akishiriki mazishi ya mtoto mdogo aliyefariki siku mbili zilizopita,

mapigo ya moyo yalienda mbio,baada ya mazishi nilimtafuta na usiku nikafanikisha kulala nae

tuambie ulishawahi kupata pisi kali msibani na wewe dada ulishawahi kupata handsome boy msibani? secretarybird
 
Nilimtamani mtoto wa marehemu nikawa nambembeleza wakati wa kwenda kutoa heshima ya mwisho kwa marehemu kumbe nilikuwa na ajenda yangu.

Nilimla na alikuwa mtamu!
 
It is a celebration of a life lost and many more to come....maisha ndio haya haya bora uenjoy mwanawane
 
Ukitaka kufanikiwa amka mapema.
Wake up early, ila sio kuamka tu early umeamka unapost habari za kupata mpenzi msibani...si upuuzi huu? Em nenda kafungue nyuzi kule jukwaa la uchumi ujiongezee madini
 
Ukitaka kufanikiwa amka mapema.
Wake up early, ila sio kuamka tu early umeamka unapost habari za kupata mpenzi msibani...si upuuzi huu? Em nenda kafungue nyuzi kule jukwaa la uchumi ujiongezee madini
Tayari ana hela chekwa na nchi inazizidi USA na EU kiuchumi.Unataka awaze nini zaidi ya kudinyana kavukavu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…