Ult ult ult ult ult .....hisia zako tu zina kusumbua[emoji23]kwan kakwambia ana kupendaYani leo nimekosa furaha kabisa, nilikua natoka kwenye jengo moja la biashara hapa mjini, nikasikia mtu ananiita ulti.. Ulti... Dha! Kugeuka classmate wangu wa Secondary huyu mdada nilimpendaga kipindi kile tunasoma dha!, nilivyo maliza form 4 alinipotea mazima, mara ya mwisho ku chat nae ilikua kama 2016, ameniambia alikua Singapore, singapore anafanya kazi Bank moja hapa mjini kwa sasa.. Aise yani amekuja kipindi ambacho najiandaa kuingia kwenye ndoa yani nimekosa furaha kabisa ukweni nisha enda dha yani nikiwaza nakosa furaha.. Ameniambia alikua ananitafuta hakunipata. J2 kaniambia tukutane sina amani kabisa sijui huko mbeleni itakuaje.
Mpaka sasa najiuliza ni mm tu nilimpendaga Classmate wangu au ilishaga tokea kwenu pia'?
tulosoma memkwa elimu ya watu wazima tunajuanaNilimpenda kisichana kimoja cha kiarabu nilipo kuwa chekechea.pale baptist.ila sikumpata
Huyo atakuwa Nyani NgabuDuh, umenikumbusha mbali kweli…………...mimi my first crush alikuwa classmate wangu. Enzi hizo form III, Shebby Robby Sec, basi jamaa akiingiatu class asubuhi si roho kudunda, duh duh, kweli mapenzi ya utotoni ni shideeer
Alikua na chura?If I could turn, turn back the hands of time then my darlin' you'd still be mine!
Hold your horses brother, uko kwenye hatari ya kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa!Yani leo nimekosa furaha kabisa, nilikua natoka kwenye jengo moja la biashara hapa mjini, nikasikia mtu ananiita ulti.. Ulti... Dha! Kugeuka classmate wangu wa Secondary huyu mdada nilimpendaga kipindi kile tunasoma dha!, nilivyo maliza form 4 alinipotea mazima, mara ya mwisho ku chat nae ilikua kama 2016, ameniambia alikua Singapore, singapore anafanya kazi Bank moja hapa mjini kwa sasa.. Aise yani amekuja kipindi ambacho najiandaa kuingia kwenye ndoa yani nimekosa furaha kabisa ukweni nisha enda dha yani nikiwaza nakosa furaha.. Ameniambia alikua ananitafuta hakunipata. J2 kaniambia tukutane sina amani kabisa sijui huko mbeleni itakuaje.
Mpaka sasa najiuliza ni mm tu nilimpendaga Classmate wangu au ilishaga tokea kwenu pia'?
Hamna sheikhtulosoma memkwa elimu ya watu wazima tunajuana