Ungewapa ndomu, tumechoka kulea yatimaNiliwai kuta polisisiyemu wakinyanduana mida ya usiku
Lazima kuna kitu ambacho hukutueleza. Iweje polisi wakushike wewe tu ambapo kulikuwa na kundi kuwa la watu? Halafu wakakulaza mahabusi Ijumaa hadi Jumatatu? Baada ya hapo wakakupiga faini. Kwanza polisi hawamtozi mtu faini, labda kwa makosa ya trafiki. Mahakama ndiyo inayotoza faini. Lazima kuna kitu hukukisema katika mada yako. Haiwezekani uwekwe mahabusu siku mbili na baada ya hapo ukubali 'kulipa faini' wakati hukufanya chochote. Tuambie ukweli.Amna aja ya kusalimiana tutasalimiana ata kuzimu .
Nianze na msala ulio nikuta. Nilikuwa natoka kwenye mishe zangu za mihangaiko nikapita kwenye kahoteli kamoja ambako nimekazoea niweze kuweka chochote tumboni .
Naona mkusanyiko wa watu wamerundikana kama vile wanashudia pambano la ngumi za kiutu uzima.
Nikasema ngoja na mimi nijisogeze nishudie pambano, Nikajichanganya katikati nikiwapenyeza watu ili niweze kuona pambano kwa usahihi.
(walikuwa ni jamaa wawili wanapigana kisa jamaa mmoja ametembea na mke wa mwenzake.)
Baada ya kuwa nimesogea sehemu ilio ya wazi sasa kwa kushuhudia pambano, nikasikia kama kunamtu amenishika mkono ile kugeuka ni Polisi nikawa mpole kabisa nakihisi sina kosa mana nilikuwa mpenzi mtazamaji. wakanikamata, na mimi nikaonganishwa kwenye ule ugomvi .
Najaribu kujitetea jamaa awanielewi wananiambia nitajieleza kituoni. Jamaa walinikazia tukapelekwa ndani kwanzia ijuma adi jumatatu na Faini juu.
Shea na wewe msala uliokutana nao
Ungewapa ndomu, tumechoka kulea yatima
Ilibidi wakuishtaki kwa makosa mawili halali "Uzembe na Uzururaji"Mkuu walinipa kosa la uzurulaji
Au uliomba gemu?Ningejua ningeomba
nawe ulivyowaona ukawakodolea macho ama ulifumba macho ?Niliwai kuta polisisiyemu wakinyanduana mida ya usiku
Uliiba simu?Walikuja kunichukua sehemu ya kazi kwa kosa la wizi wa simu aisee ilikua noma sana
Ulinunua simu ya wizi?! Pole sana. Kuna kipindi watu walikuwa wanauziwa simu za wizi sana. Walikamatwa mpaka hiyo issue ikapungua.Walikuja kunichukua sehemu ya kazi kwa kosa la wizi wa simu aisee ilikua noma sana
Izo ndio zao mkuuNilikutwa bar nakunywa kinywaji na mwanangu mida ya saatano usiku. Tukaunganishwa pingu mpaka kituoni. Tukamwita askari akutambia hatuwezi kutoka bila kulipa pesa. Aisee tulitoboka 30k fasta. Tangu hapo nimejifunza kutonyenyekea maaskari maana unaweza kujikuta gerezani kwa kosa ambalo umesingiziwa.