Ulisha wahi kuwasikia hawa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,066
Kama si kuwasikia basi ushawahi kuwaona au kuishi nao kabisa nawazungumzia mama huruma au majo maramoja au maharagwe ya mbeya
hawajui hapana vichwani mwao hawana msamiati wa HAPANA ukigusa tu umebeba na hawana gharama umpe pesa usimpe yeye wala hana hiyana

Tunaweza kuwacheka kuwasema na kuwadharau lakini hili ni tatizo aidha la kizalia , malezi ,makuzi ,au kisaikolojia.

Tunaweza kuwacheka lakini tujue kuwa ni poneo la wengi hasa madomo zege na wale wajifunzao utundu lakini hawana kitu.
 
Mkipewa kosa mkinyimwa kosa hebu waachen watoto wa wenzenu wapate raha kwa kiungo walichopewa bure sasa kwanini amnyime mtu wakati akifa kinaoza?
 
Saa nyingine tunawaonea bure dada zetu.
1) Hao mnaowaponda wakianza kuwazungusha mnaleta mada nyingine.
2) Wanaume asilimia kubwa wakitegwa tu na wanawake tayari (Na wala hawajabembelezwa wanabembeleza wenyewe), so literally speaking those women (unaowaita mama huruma) have manners just like men.
 
looo...una mapepo ww

queen kwani ni uongo hawa jamaa yaani ni shida tupu wakinyimwa maneno mtaa mzima mpaka kwenye mitandao ya kijamii mbona wakipewa hawasemi kama hawezi mambooz.
 
Hahaaa hivi wanakuaga na zile mashine za TRA kwa ajili ya risit na ufanisi ktk ukusanyaji mapato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…