Ubalozi wa Greece upo karibu na Ubalozi wa Italy,maeneo ya Upanga Magharibi....location ni UN road frm Muhimbili turn right on the last road on your right hand side before mataa ya salenda bridge.

Greece Kama unaenda nenda kwa ajili ya tour tu na sio kutafuta maisha
Kule wana hali ngumu ya maisha nilienda mwaka juzi ktk mji unaitwa thesalonik kwa ajili ya tour ya Mambo ya kidini
Mm Visa yangu ni Schengen naingia nchi 26 Europe bila kuulizwa