Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,460
Niaje?
Ni miaka mingi imepita tangu tukiwa wadogo hadi sasa.. Wapo wenzetu ambao wazazi walikwishatangulia.. Poleni sana wana..waleambao wazazi bado wapo hatuna budi kumshukuru muumba.
Wakuu hivi ni nini ulipenda au ulikichukia kwa baba/mama yako?
Binafsi nilipenda vile baba alijihimu asubuhi na kunichemshia chai kabla sijaenda shule huku mama kalala tu[emoji16]
Nilipenda ule ushujaa wa kushika mguu mmoja anakuning'iniza huku akikushushia bakora..[emoji16]
Kwa maza nilichukia makofi ya mgongo na kufinyana kwenye mapaja.. Yanauma balaa[emoji16]
Yote kwa yote nilipenda vile maza ananipakulia ugali mkubwa[emoji16]
Nikiharibu home mama anakausha hamwambii baba.. Atamwambia siku za mbelee huko mzee anakosa cha kuniadhibu[emoji16]
Nakumbuka vile napewahela ya shule (bweni) na wazazi halafu nkifika shule nakuta mama kaniwekea hela nyingine kwenye bahasha aliyoweka wakati ananipangia nguo[emoji16]
Maisha marefu wazazi wangu...
Kipi ulikipenda/ulichukia kutoka kwa mama/baba?