Yah DETAILS ni jambo muhimu sana na lazima uwe mwongozaji na msomaji details viziuriJengine ni taarifa hiki ni moja ya kitu muhimu bila taarifa sahihi hakuna ulifanyalo ni sawa na milango mitano ya fahamu IPO ili ikusanye taarifa kisha ubongo ufanye maamuzi
Wastan na sio mnyanyua vyuma sana maana utakua mzito na ukishakua mzito itakua shida kidg katika harakati za mapigo kama kuruka,,,kuroll...wepesiYatakiwa uwe mnyanyua vyuma mzuri na mvaaji nguo zisizobana maungp kwa ajili ya msamba. Huu ulinzi wa baunsa nilionaga hamnapo siku moja tukiwa disco Baunsa mlinzi pale ukumbini alileta za kuleta kwa mwenzetu mmoja mtaaluma wa hizo combative carrate. Ilikuwa ni aibu kwa baunsa alikuwa anakwenda nchini kama gunia la pamba vile kwa mitama.
Labda ni kwavile mganga hajigangi au kinyozi hajinyoi,teh! teh!Bado sijapata jibu kwanini mayweather ni bondia lakini nayeye analindwa na baunsa.
true
Kuwa bondia na kupigana ngumi za mtaani ni vitu viwili tofauti.Bado sijapata jibu kwanini mayweather ni bondia lakini nayeye analindwa na baunsa.
Utofauti huo ni upi mkuu?Kuwa bondia na kupigana ngumi za mtaani ni vitu viwili tofauti.
Ngumi za ulingoni zina sheria na kanuni, ngumi za mtaani hazina sheria unapigana kwa chochote kama viungo vya mwili na silaha. Visu, fimbo,bastola etc....unadhani huyo money atauweza huo mziki?Utofauti huo ni upi mkuu?
Nimejifunza kitu kipya mkuu, bondia hawezi kuwa mlinzi binafsi au mlinzi kwa mtu mwingine...si ndio?Ngumi za ulingoni zina sheria na kanuni, ngumi za mtaani hazina sheria unapigana kwa chochote kama viungo vya mwili na silaha. Visu, fimbo,bastola etc....unadhani huyo money atauweza huo mziki?
Hawezi, Hana mafunzo. Angalau angekuwa mtaalam wa Sanaa za mapigano angeweza kuwa mlinzi. Ila kwa ngumi tu peke yake hawezi. Wewe mwenyewe ukiwa na bisu huyo money hakusogelei.Nimejifunza kitu kipya mkuu, bondia hawezi kuwa mlinzi binafsi au mlinzi kwa mtu mwingine...si ndio?
Kuna tofauti kubwa kati ya body guard na baunsaHivi sisi wenye vitambi kama sifa nyingine zote tunazo bado tunastahili kuwa walinzi wa hawa watu mashuhuri?
Inanikumbusha kuna bondia Wawili niliwahi kusikia waliuawa kwa kuchomwa visu... Naanza kupata utofauti wa bondia na wazee wa karetiHawezi, Hana mafunzo. Angalau angekuwa mtaalam wa Sanaa za mapigano angeweza kuwa mlinzi. Ila kwa ngumi tu peke yake hawezi. Wewe mwenyewe ukiwa na bisu huyo money hakusogelei.
Kitambi sio ugonjwa lakini...Hivi sisi wenye vitambi kama sifa nyingine zote tunazo bado tunastahili kuwa walinzi wa hawa watu mashuhuri?
Mayweather jr ni proffesional boxer ndani ya ulingo(ring) ambapo kuna sheria za kimapigano(rules of boxing) ambazo zinawalinda wapiganaji ila ukija uku nje sasa ni uwanja mwingine no rules,,,,no gloves,,,,silaha zimeruhusiwa kwa iyo unaweza ona ni vitu viwili tofauti sas wapo watu maalumu waliobobea katika mazingira hayo sas ndo tunita V.I.P PROTECTORS( BODYGUARDS)Bado sijapata jibu kwanini mayweather ni bondia lakini nayeye analindwa na baunsa.
wanatakiwa wawe makini sana maana ho hawana ujuzi mfano.enviromental survey,,,,,,,,risks analysing...target neutraization without affecting sorrounding enviroment!!!!,,,,flexibility and adoptiblity kwa iyo bado kuna haja ya kutafuta watu maalum kwa ajili ya kazi iyo