mtengera4
Member
- May 5, 2013
- 23
- 2
Hapa mjini Arusha katika mtaa wa SANAWARI pamekuwa na hali ya usalama kwa muda mfululizo miaka mitatu sasa na hii inatokana na kuanzishwa kwa kampuni ya Ulinzi ya BLACK WHITE SECURITY ambayo makao yake makuu ni hapahapa Sanawari hivyo wananchi hasa wa wananchi wanaofanyabiashara pembezoni mwa mji yaani mitaani ambako ni makazi ya watu na ni sehemu ambazo ulinzi wa Polisi haufikiki kihurahisi mnaombwa kufika katika ofisi za BLACK WHITE SECURITY ili kupata maelekezo ya usalama wa mali au biashara zenu.