Ulinzi Uimarishwe Kisutu

Ulinzi Uimarishwe Kisutu

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
5,922
Reaction score
4,715
Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi

Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo Mahakamani

Week Mbili ziliripotiwa zipo Taarifa za Baadhi ya Wafausi wa Lissu Jina la T 9 kupanga njama za Kuchoma mahakama na Vituo kadhaa vya Polisi.

Tunalisihi Jeshi Letu lisicheke na Kima hasa walipewa ahadi za kupelekwa uhamishoni Nchini Canada, Ubeljiji na Ujerumani ambao ndio wanaongoza vikundi hivyo vya vurugu na uhaini nchini.

GM Upanga Dsm.
 
Uchawa
 
🌈
 
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Wewe jamaa ni Mjinga, lakini kuna kila dalili kwamba pia ni Masikini wa akili na Hela, Nakuombea uendelee kutumikishwa kama mashine hadi utakapokufa
Hawa ni wale fake protestors, kipindi Gen-Z wa Kenya wanaandama, tulishuhudia fake protestors, wengi wana masks,na mapanga wa kipora ili kuwasaidia police kenya, sababu za kupinga maandamano ya kweli,the same applied ni hiki
 
Kesho Ni Mwenyekiti wa Chadema Atafikishwa Mahakamani kusomewa mashataka yake Ya Uhani , na Uchochezi

Tunaendelea kulishauri Jeshi La Polisi Kanda Maalum kuendeleza mwendo ule Ule Kuhakikisha Shughuli za Wananchi Zinaendelea Salama na kuepusha wale wenye nia ovu na wanapanga Kuleta Fujo Mahakamani

Week Mbili ziliripotiwa zipo Taarifa za Baadhi ya Wafausi wa Lissu Jina la T 9 kupanga njama za Kuchoma mahakama na Vituo kadhaa vya Polisi.

Tunalisihi Jeshi Letu lisicheke na Kima hasa walipewa ahadi za kupelekwa uhamishoni Nchini Canada, Ubeljiji na Ujerumani ambao ndio wanaongoza vikundi hivyo vya vurugu na uhaini nchini.

GM Upanga Dsm.
Punguza mbege iliyo lala we fala.
 
Inatakiwa ukamatwe ukasaidie polisi juu ya hao T9,msiwe mnatupa hofu wananchi kwa upuuzi wenu,inaonekana wewe ni mmoja wao hao magaidi unaosema wana ajenda mbaya.
 
Back
Top Bottom