Habari wana Jamii forums
Kuna jambo nimekuwa nikifikiria sana ni kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya walemavu na watu wa kawaida,niliwahi kuwa na mwalimu wangu mmoja alikuwa ni kilema,alipata shida sana alipotaka kuoa kila msichana aliyemfuata kumtongoza alimkataa.
Eti kwa kigezo kuwa yye ni kilema,sasa mmi ninaswali hivi kuna tatizo gani kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mlemavu,mbona wao ni binadamu kama wengine,wakina dada muache ubaguzi wa style hiyo,wanaume ssi tunajali sana mwanamke ata awe kichaa hawezi kukosa mwanaume.